The Islamic Foundation yazindua kampeni kusaidia waathirika wa mafuriko
Siku chache baada ya taasisi ya The Islamic Foundation [TIF] kutoa shehena ya msaada wa chakula chenye thamani ya Sh 58.6 milioni kwa waathirika wa
Siku chache baada ya taasisi ya The Islamic Foundation [TIF] kutoa shehena ya msaada wa chakula chenye thamani ya Sh 58.6 milioni kwa waathirika wa
Katika Kitabu cha Allah (Qur’an Tukufu), kuna aya nyingi zinazozungumzia dalili au ishara za Allah katika ulimwengu huu. Mwanadamu anatakiwa atafakari na kuzingatia kupitia dalili
Moja kati ya changamoto kubwa za zama hizi ni watu kutumia muda mwingi katika kazi na kusahau au kutelekeza majukumu ya familia. Kwa sababu mwanamke
Malezi ya watoto hayajawahi kuwa suala gumu na lenye changamoto kama katika nyakati hizi za maendeleo ya teknolojia, utandawazi na ukuaji wa miji inayopelekea mchanganyiko
Naam ndugu yangu msomaji, karibu tena katika safu hii tujifunze mambo mbalimbali kuhusu viumbe wa Allah, Mbora wa Uumbaji. Juma hili nataka tukamtazame kiumbe anayefahamika
Allah Mtukufu anatuambia: “…enyi waja wangu waliojidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni
Katika sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tulimalizia na kauli ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema za Allah na amani zimshukie) aliyoitoa siku
Mtume mwingine baada yake. Rehema na amani pia ziwaendee pia jamaa zake na Maswahaba zake kwa ujumla. Katika hadith sahihi ya Mtume (rehema za Allah
Fedha ni nyenzo muhimu inayomuwezesha mtu kupata bidhaa au huduma fulani. Fedha, au pesa kama wengine wanavyoiita, yenyewe haina faida ila inatumika katika jamii kama
Wapo ndugu, jamaa, marafiki zetu ambao wana tatizo la kutoka harufu kinywani. Tatizo hili linaweza kukukosesha raha katika maisha kwa sababu watu wa karibu yako
Si mara moja tumesikia na kuona katika jamii mtoto au watoto wanamchukia baba yao. Chuki hii inaweza kuonekana kwa namna mbalimbali, ikiwemo kutomjali kabisa, kumpuuza,
Neno “Maendeleo” (Development) hutukumiwa mno na wanasiasa wanapojinadi kwa wananchi. Wataalamu wa lugha ya Kiingereza wanasema neno “development” lilianza kutumika kuelezeya hatua za ukuaji wa
Tukiangalia maisha tunayo ishi leo kupitia Compyuta, simu, kununua vitu online, intaneti, kwenda sehemu kwa kutumia ramani, mitandao ya kijamii instagram, facebook twitter google search
Kutoka kwa Bi. Aisha (Allah amridhie) amesema kuwa Abu bakr (Allah amridhie) aliingia kwake (kwa Aisha) wakiwepo wajakazi wawili wakipiga dufu mbili na wakiimba kuhusu
Wino mwingi sana umemwagwa, na nguvu kubwa imetumika katika kuainisha nafasi ya wanawake Waislamu, haki za wanawake Waislamu, majukumu ya wanawake Waislamu, na nini kinamjenga