Kimataifa
-
Vikwazo tele kwa Waislamu wa Uyghur kusafiri nje ya China
Serikali ya China imeweka vikwazo vikali zaidi kwa jamii ya Waislamu wa Uyghur wanaoishi katika jimbo la Xinjiang ikilenga kuwanyima…
Read More » -
Hali tete Waislamu wa Rohingya walio India
Waislamu wa Rohingya waliokimbilia India wakitafuta hifadhi na maisha bora wanakabiliwa na ukatili wa kisiasa, huku vyama vya AAP na…
Read More » -
Serikali, Waislamu Uingereza wabishania tafsiri ya ‘Islamophobia’
Baraza Kuu la Waislamu wa Uingereza (MCB) limeitaka serikali ya Uingereza kutambua rasmi tafsiri ya ‘Islamophobia’ iliyopendekezwa mwaka 2018 na…
Read More » -
Mwalimu Marekani ajiuzulu kwa kumuita mtoto (12) gaidi
Mwalimu wa shule ya kati ya Central Dauphin mjini Pennsylvania amejiuzulu kufuatia tuhuma za kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya…
Read More » -
Ebola yaibuka upya Uganda
Wizara ya Afya ya Uganda ilitangaza mlipuko wa Ebola siku ya Alhamisi baada ya muuguzi mwenye umri wa miaka 32…
Read More » -
Taasisi za Kiislamu Uingereza zalalama kubaguliwa ‘kifedha’ kisa ugaidi
Zaidi ya asilimia 40 ya mashirika ya Kiislamu nchini Uingereza yamekatishiwa huduma zao za benki, ripoti mpya ya Muslim Charities…
Read More » -
Asilimia 80 ya Waislamu Ujerumani wamewahi kubaguliwa
Wanafunzi Waislamu nchini Ujerumani wamekutana jijini Frankfurt kwa mkutano wao wa kila mwaka kujadili changamoto za kijamii, huku suala la…
Read More » -
Mchoma Qur’an wa Sweden auawa kwa risasi
Mwanamume aliyekuwa maarufu kwa kuteketeza mara kwa mara Qur’an mwaka 2023 nchini Sweden, kitendo kilichozua ghadhabu katika mataifa ya Kiislamu,…
Read More » -
Israel yageuza hospitali Gaza uwanja wa vita huku dunia ikiangalia
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Volker Türk, amelaumu kushindwa kuchukuliwa hatua kusimamisha janga la haki…
Read More »