

KAMBI YA MATIBABU YA MACHO BILA MALIPO – KONDOA, DODOMA
📍 20–21 Agosti 2026 — Kituo cha Afya Pahi
📍 22–23 Agosti 2026 — Hospitali ya Wilaya Bukulu
⏰ Huduma zinaanza saa 2:00 asubuhi
🩺 Huduma zitakazopatikana:
🔹 Uchunguzi wa macho na dawa
🔹 Miwani za kusomea
🔹 Ushauri kutoka kwa daktari bingwa wa macho
🔹 Upasuaji wa mtoto wa jicho
🔹 Huduma nyingine muhimu za macho
📞 Kwa mawasiliano: 0682 117 279



