Habari
-
Na Mwandishi Wetu0 534Maandalizi mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika (Mission 300) yafikia asilimia 95 – Dkt. Biteko
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa NishatiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko amesema kuwa…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 491Ajali Morogoro
Lori la mafuta lililokuwa likisafirisha bidhaa hiyo kutoka Dar es Salaam limeanguka kwenye barabara kuu ya Morogoro Dar es salaam,…
Read More » -
Suleiman Magali0 650Mufti ahimiza uadilifu, huduma bora taasisi za Hijja
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, amewataka wamiliki wa taasisi za Hijja hapa nchini kutanguliza uadilifu na huduma…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 534Bashungwa aweka wazi program na Kampeni 10 zitakazoendeshwa na wizara na vyombo vya usalama
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Wahariri na Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara…
Read More » -
Bakari Hassan Salim0 508AMYC wakutana kujipanga upya katika da’awah
TAASISI ya Ansaar Muslim Youth Center yenye makao yake makuu jijini Tanga imefanya mkutano mkuu wa mwaka 2024 ili kutathmini…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 517Wananchi wampongeza rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Wananchi katika Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora wamempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia…
Read More » -
Yusuph Amin0 572Sheikh Fariq ataja mbinu za kufikia malengo ya da’awah
Ili kutatua changamoto mbalimbali za kidini na kijamii, Waislamu nchini na duniani kote wamesisitizwa juu ya umuhimu wa kutafuta elimu…
Read More » -
Na Mwandishi wetu0 539Ujumbe wa Dkt. Naik kwa walimwengu
Mhubiri na mlinganiaji maarufu wa dini ya Kiislamu duniani, Dkt. Zakir Abdul Karim Naik amewakumbusha Waislamu na watu wa dini…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 528Diplomasia ya rais Samia inawaleta wakuu wa nchi Afrika kushiriki mkutano wa M300- Dkt. Biteko
Imeelezwa kuwa Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ujulikanao kama Mission 300…
Read More » -
Bakari Hassan Salim0 740Walimu wa shule ya msingi Imaan na secondari Forest Hill wapatiwa mbinu za ufundishaji bora
Wito huo umetolewa na Sheikh Abdi Kassim Jiba wakati akiwasilisha mada ya sifa za mwalimu bora katika uislamu na athari…
Read More »