Habari
Tanga Kupata madawati 90,000 na madarasa 2,500

Zaidi ya hayo, idadi ya walimu imeongezeka, walimu wa msingi kutoka 10,127 hadi 11,436 na wa sekondari kutoka 4,670 hadi 6,330. Hii imeongeza uwezo wa kutoa elimu bora na kuwafikia wanafunzi mahali popote.
Kuongezeka kwa shule za wasichana kutoka 3 hadi 6 kunaonesha jitihada za kukuza usawa wa kijinsia na kuwapa wasichana nafasi sawa ya kupata elimu bora na fursa za maendeleo.
