Habari
-
Wekezeni katika makuzi bora ya watoto
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, ameitaka jamii kuhakikisha kwamba wanafanya juhudi kubwa za kuwekeza…
Read More » -
Urais wa Trump wawapa hofu Waislamu Marekani
Wakati Donald Trump akijiandaa kuapishwa kuwa Rais wa Marekani Januari 20, Wamarekani wa asili ya Kiarabu na Kiislamu wanatafakari kwa…
Read More » -
Maandalizi mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika (Mission 300) yafikia asilimia 95 – Dkt. Biteko
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa NishatiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko amesema kuwa…
Read More » -
Ajali Morogoro
Lori la mafuta lililokuwa likisafirisha bidhaa hiyo kutoka Dar es Salaam limeanguka kwenye barabara kuu ya Morogoro Dar es salaam,…
Read More » -
Suleiman Magali0 23
Mufti ahimiza uadilifu, huduma bora taasisi za Hijja
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, amewataka wamiliki wa taasisi za Hijja hapa nchini kutanguliza uadilifu na huduma…
Read More » -
Bashungwa aweka wazi program na Kampeni 10 zitakazoendeshwa na wizara na vyombo vya usalama
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Wahariri na Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara…
Read More » -
AMYC wakutana kujipanga upya katika da’awah
TAASISI ya Ansaar Muslim Youth Center yenye makao yake makuu jijini Tanga imefanya mkutano mkuu wa mwaka 2024 ili kutathmini…
Read More » -
Wananchi wampongeza rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Wananchi katika Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora wamempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia…
Read More » -
Yusuph Amin0 26
Sheikh Fariq ataja mbinu za kufikia malengo ya da’awah
Ili kutatua changamoto mbalimbali za kidini na kijamii, Waislamu nchini na duniani kote wamesisitizwa juu ya umuhimu wa kutafuta elimu…
Read More » -
Ujumbe wa Dkt. Naik kwa walimwengu
Mhubiri na mlinganiaji maarufu wa dini ya Kiislamu duniani, Dkt. Zakir Abdul Karim Naik amewakumbusha Waislamu na watu wa dini…
Read More »