Habari

Shilingi trilioni 1.229 kwa ajili ya sekta ya maji Mkoani Tanga

Kiwango cha upatikanaji maji katika Mkoa wa Tanga kimeongezeka kutoka 54% mwaka 2020 hadi kufikia 79% 2025 na katika maeneo ya vijijini kimeongezeka kutoka 49.7% mwaka 2020 hadi kufikia 75% mwaka 2025 na miundombinu imefikia 95% mwaka 2025. Miradi 96, visima virefu 175, vituo 1,193 vya kuchotea maji, na mabwawa 2.

Aidha TZS161bilioni zatumika kwenye miradi 20 ya maji safi mkoani Tanga na Miradi 65 yenye thamani ya shilingi bilioni 88.56 inaendelea kutekelezwa moja wapo ikiwa ni mradi wa mkinga wenye thamani ya TZS35B.

Abdulrahman Omary Ibrahim

Photo & Videographer

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button