Habari

Rais Samia atoa TZS 44.4b Kagera kwaajili TASAF na 10%

Katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo cha kibiashara, mkoa umeanzisha shamba la pamoja la kahawa lenye ukubwa wa ekari 300 katika kijiji cha Makongora, wilayani Muleba, likihusisha vijana 300 waliopatiwa mafunzo na nyenzo.

Aidha, kongani 4 za vijana zimeanzishwa katika wilaya za Missenyi, Bukoba, Muleba na Kyerwa, ambapo jumla ya vijana 180 wamewezeshwa kujiajiri na pia kuwaajiri wengine kupitia shughuli mbalimbali za kilimo na uzalishaji.

Abdulrahman Omary Ibrahim

Photo & Videographer

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button