Uncategorized

TANZANIA KUWA KITOVU CHA BIASHARAAFRIKA MASHARIKI NA KATI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameendeleza azma yake ya kuboresha mazingira ya uwekezekaji unaovutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya Nchi.

Mhe Rais amefanya juhudi mbalimbali zikiwemo za kuboresha mazingira ya kisheria ambapo alifuta sheria na kanuni 383 vilivyokuwa vikwazo kwa wawekezaji kuwekeza mitaji yao, ujenzi wa kituo hiki kikubwa cha biashara na usafirishaji ni matokeo ya juhudi za Rais Samia mwenyewe baada kutoa kibali cha eneo la ujenzi wa kituo hiki.

Abdulrahman Omary Ibrahim

Photo & Videographer

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button