
قال يحيى بن أبي كثير رحمه الله:
كان من دعائهم:
اللهم سلِّمْني إلى رمضان،
اللهم سلِّمْ لي رمضان،
اللهم تسلَّمْه مني متقبَّلًا
Rejea,, (لطائف المعارف
Amesema, Yahya bin Abi Kathir Allah amraham kuwa
Ilikuwa miongoni mwa dua zao Wema waliotangulia kabla ya kuingia Ramadhani wakisema
Ewe Mola nijaalie niifike Ramadhan na unifikishie Ramadhani na unijalie Matendo yenye kukubaliwa ndani ya mwezi wa Ramadhani.

