Habari
-
Kidato cha pili Kirinjiko wabuni kifaa cha kutambua ujazo wa maji
Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Kiislamu ya Kirinjiko iliyopo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro wamebuni kifaa…
Read More » -
Na Suleimani Magali0 206Wapeni motisha walimu wa madrsa – wito
Sheikh wa Wilaya wa Kinondoni, Mohammed Ahmed Muhenga, amewataka Waislamu kutoa motisha kwa walimu wa madrasa, akisisitiza kuwa kazi wanayoifanya…
Read More » -
Na Mwandishi wetu0 208Kamati ya Bunge yaridhishwa utekelezaji mradi wa umwagiliaji mradi nyida shinyanga
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara Kilimo na Mifugo imeridhishwa na utekelezaji wa miradi inayofanywa na Tume ya…
Read More » -
SEforALL to strengthen sustainable energy cooperation
Dkt. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevu Rais wa Sierra Leone asema ukombozi wa maeneo ya vijijini…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 215Makatibu wakuu wakubaliana magugu maji yaondoshwe Ziwa Victoria
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja ameongoza Kikao cha Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali kwa ajili…
Read More » -
Na Suleimani Magali0 187Ratiba mashindano ya Qur’an Ramadhan hadharani
Taasisi maarufu katika uandaaji wa mashindano ya Qur’an nchini, zimetangaza ratiba zao za mashindano ya Qur’an katika msimu huu wa…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 172Dkt.Mwinyi azihamasisha nchi za EAC kuanzisha mifuko ya maendeleo ya petroli
Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia Afunga Kongamano na Maonesho ya Petroli…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 177Bashungwa atembelea ujenzi wa msikiti wa wilaya Karagwe
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 196Bashungwa atoa angalizo maafisa uhamiaji, uingiaji wa wahamiaji haramu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao…
Read More » -
Na Mwandishi Wetu0 162Afrika tunayapa kipaumble matumizi ya nishati safi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi – Dkt. Biteko
Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi Afungua Mkutano wa Awali EAPCE’25 Ataka utumike kujadili na kuweka…
Read More »