1. TIF News

TIF DUG ANOTHER WATER WELL

photo credit: courtesy of Franciscan Charities

The capital councilor of Morogoro, Hassan Madadi Maringo thanked The Islamic Foundation for building a water well in the primary school located in the county.

Speaking to the Reporter of Imaan Media, the councillor said the support provided by The Islamic Foundation will enable them to reduce the risk of long-term water shortages in the school.

 

In addition, respected Counselor have added that there is every reason The Islamic Foundation should continue in its efforts to support it’s communities in the various aspects even in government institutions such as hospitals, schools and many others.

Diwani wa kata ya mji mkuu Manispaa ya Morogoro Hassan Madadi Maringo ameishukuru taasisi ya The Islamic Foundation kwa kuweza kuwachimbia kisima cha maji katika shule ya msingi mji mkuu iliyopo katika kata hiyo.

Akizungumza na sayari ya Imaan Diwani huyo amesema kuwa msaada huo wakuchimbiwa kisima uliyo toka katika taasisi ya The Islamic Foundation utawawezesha kupunguza haja ya kukosekana kwa maji kwa muda mrefu katika Shule hiyo.

Aidha mheshimiwa Diwani hiyo ameongeza kuwa kuna kila sababu taasisi ya The Islamic Foundation kuendelea kuungwa mkono kutokana na jitihada zake za kusaidia jamii katika Nyanja mbalimbali ikiwemo na hata katika taasisi za serikali kama shule hospital na nyinginezo.

Tags
Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close