1. Habari

"Kufata Sheria Katika Nasaha" || Masjid al-Haq || Morogoro ||

WAISLAMU nchini wametakiwa kuwa makini katika kutoa nasaha ambazo mtume Muhamad SAW amefundisha utaratibu wake kwa kuzinatia sheria za dini na kujiepusha kuamini moja kwa moja mitandao ya kijamii.
Kauli hiyo imetolewa na imamu msaidizi wa msikiti wa Haq shekh Ally Mussa wakati akitoa hutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti huo. Aidha Shekh Ally Mussa ameongeza kuwa ni vyema waislamu kujikita katika kusoma elimu ya dini ili kuweza kupata radhi za ALLAH SW.

Tags
Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close