Misk Ya Roho

Kongamano la 2 la Afrika Mashariki

Misk ya Roho

 Jumapili 28 Octoba | Dar Es Salam / Diamond Jubilee

Utukufu Wake

Wale wanaomfahamu Allah wanatabia zinazowashangaza wengine. Ustahmilivu wao, nguvu yao na jinsi wanavyomtegemea Allah, pale wanapopata ufunuo wa majina yake, ni wa kustaajabisha. Kuweza kuyafungua (kuyaelewa vizuri) majina yake mazuri kutawezekana pindi utakapokuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na Al-Rahman, Al-Rahim. Kwa kumuomba Al-Sami', Al-Alim peke yake; na kumuamini rafiki yako wa karibu kuliko wote; Al-Wali, Al-Wakil. Darasa hili linatuunganisha na mfalme wa wafalme, kwa kujifunza mizizi ya majina yake kilugha, na jinsi ya kuyatumia katika maisha yetu ya kila siku.

Kufungua jina Allah kunamaanisha nini?

Kumfikia Allah kwa kupitia moja ya majina yake mazuri ni kuifungua dunia ya uwezekano. Ni kuyaanzisha maongezi ya moja kwa moja na yeye ambae amekuwa akisubiri kukusikia... na KUKUJIBU.

Mkaribie Allah, wewe binafsi katika ngazi ya ukaribu wa moyoni...Ongeza kujikurubisha kwako kwa Allah.

Yape nguvu maisha yako kwa betri ya milele. Matendo yako yaendane na majina yake mazuri.

Kumbuka jina moja la Allah katika kila tukio linalokutokea katika siku. Tafuta utulivu kwa kupitia majina na Allah pale utakapopata changamoto. Pata nguvu ya kuushinda udhaifu na matamanio yako.

Ondoa shaka zote juu ya uwepo na uhalisia wa Allah.

Mponda

Ja'far Mponda

Tanzania
AbuThaaqib

AbuThaaqib

Tanzania
TIF_East African Conference_Video BG - Nov
TIF_East African Conference_Video BG - Nov
TVI-LOGO-3-landscap
Radio_Imaan_FM_NEW
Imaan_Newspaper_1

UNATAKA KUSEMA KITU?

Tutumie Ujumbe Wako

Invalid Email
Invalid Number

Kununuwa Tiketi au kwa

Maelezo Zaidi

event@islamicftz.org

Wanaume:
+255 653 949 306

Wanawake:
+255 787 556 656

Back to top button
Close
Close