1. Habari1. TIF News

Wana mazoezi kutoka Dar es Salaam na Zanzibar watembelea Imaan Media.

Atheletes 1 Dar Znz

Waislamu nchini wametakiwa kuwa kipaumbele katika masuala mbalimbali ya kijamii ikiwemo kuvichangia vyombo vya habari vya kidini ili kuendelea kutoa mchango kwa jamii nzima ya kiislamu.

Abubakar Kalambura

Abubakari kalambura akiongoza ujumbe waviongozi wengine wa vikundi hivyo vya mazoezi kutoka Mikoa ya Morogoro Dar es salam na visiwani Zanzibar amesema kuwa umoja wao wa vikundi hivyo unatija kwa jamii kwani mbali na malengo walio jiwekea ya kufanya mazoezi ya kisheria kwa mujibu wa dini kuimarisha Afya zao lakini pia ufanya shughuli nyingine za kijamii ikiwemo kuchangia damu pamoja na mambo mengine muhimu hivyo amewataka waislamu kuwa mstari wa mbele kuunga juhudi za kuimarisha utendaji kazi wa vyombo vya habari vya kiislamu

Atheletes 6 Dar Znz
Atheletes 5 Dar Znz
Atheletes 2 Dar Znz

Abubakar Kilambura ametoa shukrani zake za zati kwa uongozi wa imaan media kuwakubalia ziara hiyo.

Atheletes 3 Dar Znz

Kwa upande wao kina mama walio kuwamo katika kikundi hicho wametoa wito kwa wamama wenzi wao kufanya ziara katika katika sehemu mbalimbali za kujifunza kama walivyo fanya wao kutembelea imaan media.

Tags
Show More

Related Articles

Back to top button
Close