1. TIF News

TIF yafanya hafla maalim ya pongezi kwa wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya Kitaifa 2020.

Taasisi ya The Islamic Foundation imefanya hafla maalumu ya kuwapongeza wanafunzi wa kidato cha pili na nne wa shule ya Secondary Forest Hill waliofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa mwaka 2020. Hafla hiyo imefanyika Makao Makuu ya TIF Morogoro.

Halfa hiyo ilihudhuriwa na Mwenyekiti wa The Islamic Foundation Aref Nahdi .

Picha yaa baadhi ya wanafunzi wakipokea zawadi zao

Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close