1. TIF News

Misk Ya Roho 2019 yafana..

Siku ya Jumapili lilifanyika kangamano la Afrika Mashariki na kati lililoenda na ujumbe wa “KITABU CHANGU“. Kongamano hilo lilihudhuriwa na waislamu zaidi ya 5000, na kupata faida nyingi kutoka kwa masheikh kutoka katika nchi tofauti tofauti zikiwemo, Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi.

Mada zilizowasilishwa ni “Athari ya Quran katika kumbadilisha mwanadamu iliyowasilishwa na shekh. Djumapili Mbabajende, Historia na Miujiza ya Quran iliyowasilishwa na Shekh. Muhammad Abduweli,Quran na Nafsi” iliyowasilishwa na Shekh. Abu Hamza, Nafasi ya Mwanamke katika Quran iliyowasilishwa na Dr. Shekh. Salim Qahtwan, “Ubaya wa kuihama Quran iliyowasilishwa na Shekh. Bizimana Zuberi, “kwa Quran tunaishi” iliyowasilishwa na Shekh. Ibrahim Twaha, “Halali na Haraam katika Quran” iliyowasilishwa na Shekh. Yusuph Abdi na pamoja mwadhiri kutoka nje ya Afrika Ust. Adnan Rashid aliyewasilisha mada ya “The External Challenge.”

Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close