1. Habari1. TIF News

TIF Kusaidia majeruhi wa alaji – Morogoro

Taasisi ya The Islamic Foundation imepanga kutoa madawa kwa ajili ya kuwasaidia majeruhi 70 wa ajali ya Lori iliyouwa watu 62.

Viongozi wa The Islamic Foundation wamekutana na mkuu wa mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kupewa mahitaji muhimu kwa ajili ya majeruhi hao.

Aidha Viongozi hao wameahidi kusaidia madawa na wanatarajia kukabidhi muda wowote kuanzia sasa

Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close