1. Habari1. TIF News

Mahujaji washukuru The Islamic Foundation

Miongoni wa mahujaji walio kwenda kutekeleza ibada ya Hijja mjini Makka nchini Saudia arabia wameishukuru Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kua sehemu ya kuwafanikishia safari yao hiyo .

Shukrani hizo za dhati kwa taasisi ya The Islamic Foundation zimetolewa na baadhi ya mahujaji kutokea mkoani katavi walio pata nafasi ya kutembelea makao makuu ya taasisi hiyo mjini Morogorogo mara baada ya kurejea kutoka mjini makka.

Tags
Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close