7. Visa Vya Mitume

Nabii Musa: Mtume aliyepasua bahari kwa fimbo

SEHEMU YA 11 Katika makala iliyopita tul- ishuhudia Na- bii Musa (ama- ni ya Allah im- shukie) aki- tunukiwa na Allah Aliyetuka muujiza wa pili, ambao ulikuwa mko- no wake kutoa nuru na kumeremeta. Katika makala hii itaangazia maandalizi ya Nabii Musa kwa ajili ya ku- kabiliana na Firauni. Sasa endelea…

Nabii Musa afanya maandalizi ya kumkabili Firauni.

Hapa mke wa Musa bado yupo katika hema lake akimsubiri mumewe arudi. Haelewi maswahibu yaliyomkumba mumewe, haelewi atachukua muda gani katika mazungumzo ya siri na Mola wake katika Mlima Tuwa, na pia hafahamu kitu gani kinajiri katika akili ya mumewe. Lolote linaweza kutokea, ila tu ni kwamba Allah Aliyetukuka aliujaza moyo wa mke wa Nabii Musa subira. Na wala hakuwa na hofu hadi mumewe aliporudi. Na haraka Nabii Musa akamuhabarisha bishara ya Unabii na Utume, na kisha wakaondoka kuelekea ardhi ya Misri, (Taz: ‘Nisaaul Anbiyaa’ uk 182). Kuanzia hapa, baada ya miujiza hii mi- wili ya fimbo ya Musa kugeuka nyoka na mkono wake kutoa nuru. Allah alimuamu- ru aende kwa Firauni mpotevu mkubwa kwa ajili ya kumlingania kwa upole na ul- aini, kisha akamwamuru yeye amwache Firauni na atoke na wana Waisraili katika ardhi ya Misri na kuingia katika ardhi takatifu, kwa kukwepa vitisho vya Firauni na washirika wake. Na hapa Musa (amani ya Allah imshuk- ie) alijawa na hofu sana akikumbuka kuwa aliwahi kumuua mtu mmoja katika wa- zawa halisi wa Misri na aliogopa na wao wasije kumuua. Hivyo akamuomba Allah Aliyetuka amfanye ndugu yake Harun kuwa msaidizi. Hapa, Nabii Musa anakubaliwa ombi lake na Allah Aliyetuka. “Tutautia nguvu mkono wako kwa nduguyo, na tutakupeni madaraka, hata wasikufikieni. Kwa sababu ya ishara zetu nyinyi na watakao kufuateni mtashinda,” (Qur’an, 28:35) Isitoshe, Allah Aliyetukuka alimtuliza kwa kumuhakikishia kuwa Yeye atakuwa pamoja nao anasikia na kuona kila kitu ki- nachojiri. Allah akampa Musa matumaini zaidi akimwambialichayaukatilinaufed- huli wa Firauni, hawezi kuwadhuru wao kwa kitu chochote.

Nabii Musa amuomba Mola wake ampe ufasaha

Allah Aliyetuka wakati alipomwambia Musa(amaniyaAllahimshukie):“Nenda kwa Firauni hakika yeye amepindukia mpaka” (Qur’an, 20:24). Musa alimuomba Mola wake Mlezi na kunyenyekea: “Musa akasema, ‘Ewe Mola wangu Mlezi! Nikunjulie kifua changu. Na unifanyie nyepesi kazi. Na ulifungue fundo lililokatikaulimiwangu. Wapatekufaha- mu maneno yangu,’” (Qur’an, :20: 25-28). Husemwa ya kwamba Musa (amani ya Allah imshukie) pindi alipokuwa mtoto, al- impiga Firauni katika ndevu zake na Firau- ni akataka kumuua. Hata mkewe Firauni alimwambia mumewe: “Hakika yeye ni mtoto mdogo hajui kutofautisha baina ya tende na kaa la moto.” Hivyo,Firauniakataka kumtahiniMusa ili kumaizi, ni kweli alikusudia kumpiga katika ndevu zake au ilikuwa ni kitendo asi- chokibaini Musa kutokana na rika la utoto wake. Firauni akaamrisha iletwe sahani am- bayondaniyakeitakuwana tendenakaala moto, kisha akamwamuru Musa kuchukua katika viwili hivyo, Musa (amani ya Allah imshukie) akataka kuchukua tende, lakini Malaika Jibril akauvuta mkono wake na kuupeleka katika kaa la moto akalichukua na kuliweka mdomoni mwake. Hiyo ikawa nisababu ya Musakuwanakitata(kigugu- mizi) katika ulimi wake. Musa alipokuwa mkubwa na Allah akamtaka aende kwa Firauni alimuomba Allah Aliyetuka amuondoshee hali ya kusi- tasita kuongea katika ulimi wake ili apate kuweza kuzungumza na Firauni na kumu- elewa ipasavyo, hivyo Allah Aliyetuka akamkubalia Musa ombi lake. Kisha Musa (amani ya Allah imshukie) akasema: “Na nipe waziri katika watu wan- gu. Harun, ndugu yangu. Kwake yeye niongeze nguvu zangu. Na umshirikishe katika kazi yangu. Ili tukutakase sana,” (Qur’an 20:26 34). Musa alikubaliwa maombi yake yote, ikiwemo usaidizi wa ndugu yake Harun. Na hii inaonesha hadhi ya aliyokuwa nayo Musa mbele ya Mola wake Mlezi Aliyetuku- ka.Allah awaamuru Musa na ndug- uye kutumia lugha ya staha Baada ya Allah Aliyetuka kumwaamuru Musa na ndugu yake Harun (amani ya Al- lah iwashukie) waende kwa Firauni kwa minajiliyakumhubiriakatika diniyaAllah na kuwaokoa wana wa Isarail wanaoteseka kutokanana ukatilinavitishovyaFirauni. Musa alielekea katika ardhi ya Misri ili kukabiliana na nguvu kubwa na ya hatari katikazamazake,hukuakijua Firaunikatu hawezi kuacha kuwaandama wana wa Is- raili bila ya mapambano makali. Hakika Musa (amani ya Allah imshukie) alielekea katika kumlingania Firauni muo- vunakatili,hukuakifuatamaelekezo aliy- opewa ya kumuhubiria kwa upole na huru- ma kama ambavyo Allah amemwamuru. “Nenda wewe na ndugu yako, pamoja na ishara zangu, wala msichoke kunikum- buka. NendenikwaFirauni. Hakikayeye amepimduka mipaka. Mwambieni maneno laini huenda akazingatia au aka- ogopa,” (Qur’an, 20:42-44). Qatada, Msomi Mweledi aliyebobea katika fani ya tafsiri amesema katika ubainifu wa Aya hii: “Ewe Mola Mlezi ikiwa huu ndiyo upole wako

Show More

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button
Close
Close