9. Khutbah

Waislamu wametakiwa kushirikiana

WAISLAMU nchini wametakiwa kuishi kwa kushirikiana baina yao katika mambo mbalimbali hapa dunia kwa lengo la kufuata mwenendo mwema wa mtume Muhamad SAW pamoja na waja wema waliyo tangulia.

Kauli hiyo imetolewa na mlinganiaji wa dini tukufu ya kiislamu Shekh Kombo Ally Fundi wakati akitoa hutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti wa haqq uliyopo mtaa wa Karume Mnispaa ya Morogoro.

Aidha Shekh Kombo amewataka waumini wa dini tukufu ya kiislamu kuweza kushirikia katika matatizo mbalimbali na baina yao na kuona kila jambo linalo mkuta mwezako kuwa  kama ni la kwako.

 

Tags
Show More

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button
Close
Close