1. TIF News

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kipyenga cha Misk ya Roho 2018 Kimeshapulizwa…

Mada kuu: ‘Utukufu Wake…’ Katika muendelezo wa mfululizo wa makongamano mbalimbali yanayoandaliwa na taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), kwa…

Read More »

Swala inahitaji maandalizi-4

Swala ya jamaa na umuhimu wake Moja ya malengo makuu ya kujengwa na kuwepo misikiti katika maeneo wanayoishi Waislamu ni…

Read More »

MISKI YA ROHO TENA…

Salamu alaykumu, kipazani najongea. Ndugu zangu isilamu, ujumbe nawaletea. Miski tuliyoihamu, punde tu itatujia. Roho zipate nukia, miski inatulazimu. Uturi…

Read More »

Swala inahitaji maandalizi-3

Kabla ya kuelekea msikitini, inapendeza zaidi ukichukua udhu nyumbani. Msingi wa hili ni Qur’an. Allah Aliyetukuka anasema: “Enyi watu, chukueni…

Read More »

Kupigania hali za wasioona Waislamu ni lengo letu – Benedicto

Wakati ukiendelea kuvuta pumzi aliyokujalia Mwenyezi Mungu na hauilipii hata senti, jiulize nini umefanya kwa ajili ya dini yako na…

Read More »

Sharjah, TIF zafanikisha matibabu ya moyo

Wagonjwa 21, milioni 700 zaokolewa Jumuiya ya Sharjah Charity International kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imefanikiwa kuwafanyia upasuaji wa…

Read More »

‘TIF Girls’ wawafariji watoto Muhimbili

Vijana wa kujitolea wa taasisi ya The Islamic Foundation upande wa wanawake (TIF Girls) wameendeleza utaratibu wao wa kujitolea kusaidia…

Read More »

TIF, granted plots of land.

The chairman of the Islamic Foundation (TIF), while on his visit to the regions of southern Tanzania, was granted plots…

Read More »

Tif yatunukiwa viwanja mikoani

Mwenyekiti wa taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), Aref Nahdi, aliyoko ziarani katika mikoa ya Kusini na Nyanda za Juu,…

Read More »

TIF yachinja mbuzi 953

In short up today we have succeeded slaughtering 953 The following regions benefited from the program; Morogoro, Mtwara, Mwanza, Kigoma,Mbeya,…

Read More »
Back to top button
Close
Close