1. TIF News

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Hafla ya chakula, TIF na Dar Al Ber society.

Taasisi ya Dar Al Ber Society kwa kushirikiana na TIF, wameandaa hafla fupi ya chakula kwa ajili ya mayatima, kwenye…

Read More »

TIF yagawa misahafu 20,000 toka UAE

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) imesambaza jumla ya misahafu 20,520 katika misikiti mbalimbali ya mikoa ya Dar es Salaam…

Read More »

TIF yaishukuru Al-Hikma kwa tuzo

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) imeishukuru taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa tuzo ambayo taasisi hiyo imeipa TIF kutambua mchango…

Read More »

Naibu Waziri Ashatu ahimiza elimu ya Qur’an

Naibu wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Ashatu Kijaji amesisitiza suala la elimu ya Qur’an kwa vijana ili kujenga…

Read More »

TIF na UAE: Ugawaji wa chakula Pemba.

Kwa mara nyengine tena Taasisi ya The Islamic Foundation kwa ushirikiano na Ubalozi wa Falme Za Kiarabu UAE umeweza kugawa…

Read More »

TIF na UAE watoa msaada wa chakula Dar es Salaam

TAASISI ya The Islamic Foundation kwa kushirikiana Umoja wa nchi za falme za kiarabu UAE wametoa msaada wa vyakula wa…

Read More »

Naibu Sheikh mkoa wa Morogoro aitembelea TIF

Kaimu Sheikh wa Mkoa Morogoro Sheikh Twaha Saleh Kilango na Katibu a BAKWATA mkoa Shk Ahmed Khairallah walipotembelea ofisini kwa…

Read More »

TIF na UAE watoa msaada wa chakula

TAASISI ya The Islamic Foundation kwa kushirikiana Umoja wa nchi za falme za kiarabu UAE wametoa msaada wa vyakula, tani…

Read More »

Tuna mengi ya kujifunza kwa waislamu wa nchi nyingine, Aref Nahdi

Waislamu nchini wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Waislamu wa nchi nyingine duniani katika masuala anuai ili waweze kupiga hatua…

Read More »

Mwenyekiti TIF azuru Malaysia

Mwenyekiti wa taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) yenye Makao yake makuu mjini Morogoro, Aref Nahdi, amefanya ziara ya kikazi…

Read More »
Back to top button
Close
Close