Mobile Donation: 0767 627 284 0713 627 284 0785 627 284
Kongamano la Kwanza la Afrika Mashariki

Misk ya Roho

 Jumapili 26 Novemba | Dar Es Salam / Diamond Jubilee

Mada

Jinsi ya kuwa na Ikhlaas,  Umuhimu wa Elimu na Thamani ya Amani

Ikhlaas

Ni nini maana Ikhlaas? Vipi nitaipataje Ikhlaas? Nitajikingaje kutokana na Riyaa? Nitajuaje Ibada yangu imekubalika? 

Umuhimu wa Elimu

Hali ya kuwa Elimu imetuzunguka na rahisi kuipata elimu hio, je ni namna gani muislamu wa kitanzania ataweza kupata elimu yenye manufaa? Je, Elimu ipi ni bora zaidi? Elimu ya Dini ama sekula? Ni lipi lengo la Elimu? Je, Kila muislamu anapaswa kuwa mwanazuoni? Je, Elimu inifanyie au iniletee nini mimi (binafsi)? 

Thamani ya Amani

Je, Uislamu unahamasisha kutokuwepo na haki au unahamasisha Amani? Ni vipi nitatengamaa sawa kama muislamu hapa Tanzania?

Kutana na Wahadhiri

Sh-juma
Sheikh Juma Amir

Kenya

Sheikh Salim Barahiyan
Sheikh Salim Barahiyan

Tanzania

Sheikh Bizimani Zuberi
Sheikh Zuberi Bizima

Burundi

Nurdin Kishki
Sheikh Nurdin Kishki

Tanzania

Sheikh Ibrahim Keybanji
Sheikh Ibrahim Kyebanja

Uganda

Sheikh Muhammad Issa
Sheikh Muhammad Issa

Tanzania

Sheikh Maboy Jamali
Sheikh Maboy Jamali

Rwanda

Shaykh Yusuf Abdi
Sheikh Yusuf Abdi

Kenya

TIF Team

Aref Nahdi
Aref Nahdi

Mwenyekiti wa TIF

Bawazir
Ahmed Bawazir

Media Director TIF

Taj Muhammad
TajMohamed Abbas

Event Director TIF

Munshid na Washairi

Mponda

Ja'far Mponda

Tanzania
Munshid6

Salim Ali Idi

Zanzibar
Munshid1

Soud Khatib Fakih

Zanzibar
Munshid7

Nasir Muhammad

Kenya
Munshid8

Yakub Abdallah

Zanzibar
Munshid4

Ramadhan Luheta

Zanzibar
AbuThaaqib

AbuThaaqib

Tanzania
Munshid2

Masoud Muhammad

Zanzibar
Munshid3

Abdallah Faki

Zanzibar

Sponsorship Opportunity

Media Partner

Radio_Imaan_FM
TVI-LOGO-3-landscap
Imaan_Newspaper_1

UNATAKA KUSEMA KITU?

Tutumie Ujumbe Yako

Invalid Email
Invalid Number

Jisajili Kuhudhuria

Tiketi bado hazija sambazwa,idadi ya tiketi itakuwa chache. Sajili na upokee barua pepe pale zitakapo sambazwa.