-
Trending

UBAYA WA SASAMBURA

Jamii ya leo imekumbwa na matatizo mengi saana ambayo sababu kubwa ni kukosa kinga na ulinzi kutokana na shari za vijicho na hasad.

Jamii imeacha kutekeleza mafundisho ya dini yetu tuliyo elekezwa na mtume wetu Muhammad S.a.w ambae hajaacha kitu bali ametufundisha na kutupa suluhisho la matatizo.

Kubwa ni kuacha tabia ya kujionesha mbele za watu kwa namna ambayo itapelekea kupata hasad na vijicho na kuweza kujihifadhi kwa hatua hiyo ya kwanza na hatua ya pili kujilinda kwa dua na nyiradi mbalimbali tulizo fundishwa na dini yetu.

Show More

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button
Close
Close