-1. Habari1. TIF News

TIF na UAE: Ugawaji wa chakula Pemba.

Kwa mara nyengine tena Taasisi ya The Islamic Foundation kwa ushirikiano na Ubalozi wa Falme Za Kiarabu UAE umeweza kugawa chakula cha Iftar kwa Kaya 100 katika vijiji vya Kengeja Kusini Pemba Na Wete kaskazini Pemba.

Waisilamu Hao wameishukuru Falme za Kiarabu UAE pamoja na wenyeji wao Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kuwakumbuka kwa sadaka hio kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan .Zoezi hilo lilisimamiwa na kuorodheshwa na Mkurugenzi wa Mkoa wa Dar Es Salaam anayeiwakilisha Taasisi ya The Islamic Foundation ndugu Abubakar Nkungu.

Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close