-1. Habari1. TIF News

Naibu Sheikh mkoa wa Morogoro aitembelea TIF

Kaimu Sheikh wa Mkoa Morogoro Sheikh Twaha Saleh Kilango na Katibu a BAKWATA mkoa Shk Ahmed Khairallah walipotembelea ofisini kwa Mwenyekiti wa The Islamic Foundation Aref Nahdi, ziara fupi ilokuwa na lengo la kuimarisha umoja na ushirkiano baina ya waislamu.

Show More

Related Articles

Back to top button
Close