-

Hafla: Shule Forest Hill

#WAHITIMU wa kidato cha nne katika shule ya sekondary ya #Forest #Hill ya Mjini #MOROGORO Wametakiwa kuhakikisha kuchagua marafiki walio wema wasioweza kuwa sababu ya kuharibikiwa kipindi wapo majumbani katika kipindi hiki cha kusubiri matokeo ya Mtihani wao walioufanya

Kauli hiyo imetolewa na katibu mkuu wa Taasisi ya The Islamic Foundation Sheikh #Mohammed #Issa wakati wa #mahafali hayo ya kidato cha #Nne yaliyofanyika shuleni hapo Akimwakilisha Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa The Islamic Foundation Aref Nahdi

Show More

Related Articles

Back to top button
Close
Close