Tag Archives: vikao vya waja wema

Faida za vikao vya kumtaja Allah- 1

Mwanadamu ni mwanajamii na kwa tabia yake ya kimaumbile kamwe hawezi kuishi maisha ya kujitenga; na akifanya hivyo atapata matatizo. Uthibitisho wa hili ni hali ya mabedui (Waarabu wa mashambani) katika zama za Mtume (rehema za Allah na amani zimshukie) ambao walikuwa wakiishi maisha ya kujitenga na watu, jambo ambalo lilimkera Mtume na Maswahaba zake (Allah awaridhie). Pamoja na kupenda ...

Read More »

Kumtii Allah si maneno tu bali vitendo, Sheikh Abduweli

“ Kumshukuru Allah si kusema Alhamdulillah, bali kumtii kwa kutenda mema na kuacha makatazo yake.” Hayo ni maneno aliyoyasema Sheikh Muhammad Abduweli wakati wa Kongamano la Kida’awa la Afrika Mashariki ‘Misk ya Roho’ lililofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam. Sheikh Abduweli aliyekuwa akiwasilisha mada ‘Ukubwa wa Mwenyezi Mungu’ alisema kuwa watu wengi katika zama ...

Read More »

Nahdi awashukuru waliohudhuria, agusia mabadiliko ya Kongamano

Mwenyekiti wa taasisi ya The Islamic Foundation [TIF], Aref Nahdi ameonesha kufurahishwa na mahudhurio makubwa ya watu katika kongamano la pili la Misk ya Roho lililofanyika Oktoba 28 mwaka huu na kubainisha kuwa anawashukuru wote waliohudhuria. Nahdi amesema mahudhurio hayo makubwa ni ishara kuwa Waislamu wanaipenda dini yao na hivyo kuwaomba wazidi kushiriki makongamano mengine ili kuusukuma mbele Uislamu. Katika ...

Read More »

Hongereni wote mliojitokeza Misk ya Roho

Oktoba 28 ya mwaka huu ilikuwa ni siku nzuri ya Waislamu hapa nchini kujumuika kwa minajili ya kupata ujumbe wa dini yao tukufu ya Uislamu. Mjumuiko huo ulifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambapo Waislamu walijazwa maarifa yaliyomo ndani ya dini yao tukufu ya Uislamu kutoka kwa mtoa mada mmoja hadi mwingine hadi watoa mada wote ...

Read More »

Misk ya Roho: Wahadhiri walivyokonga nyoyo za Waislamu

Mada zilizowasilishwa na wahadhiri katika kongamano la pili la kida’awa la Misk ya Roho Jumapili ya Oktoba 28 mwaka huu zimeonekana kuwagusa watu wengi ambao wanashuhudia kuwa zimebadili fikra zao na kusaidia kuwaongezea kiwango cha ufahamu juu ya dini yao ya Uislamu. Katika kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na umati wa watu, mada ...

Read More »

Wahadhiri Misk ya Roho waahidi makubwa

Wahadhiri watakasowasilisha mada katika kongamano la Misk ya Roho litalofanyika Oktoba 28 mwaka huu, wameahidi, Insha Allah, kutoa ujumbe mzito utakaobadili fikra za watu wengi, na kuboresha ufahamu wao juu ya Utukufu wa Mwenyezi Mungu. Baadhi ya masheikh hao walioongea na Gazeti Imaan wamewataka Waislamu kujitahidi kutokosa kuhudhuria kongamano ambalo linawakutanisha Watanzania na wahadhiri na masheikh wa ndani na nje ...

Read More »

Kipyenga cha Misk ya Roho 2018 Kimeshapulizwa…

Mada kuu: ‘Utukufu Wake…’ Katika muendelezo wa mfululizo wa makongamano mbalimbali yanayoandaliwa na taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), kwa mara ya pili mtawalia tunawaletea kongamano kubwa kuwahi kutokea katika ukanda wa Afrika Mashariki litakaloendeshwa kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Misk ya Roho ni kongamano la kidaawah la Afrika Mashariki ambapo TIF, huwaalika masheikh kutoka katika nchi za Afrika ...

Read More »

MISKI YA ROHO TENA…

Salamu alaykumu, kipazani najongea. Ndugu zangu isilamu, ujumbe nawaletea. Miski tuliyoihamu, punde tu itatujia. Roho zipate nukia, miski inatulazimu. Uturi huu muhimu, TIF yatusogezea. Mashekhe walo adhimu, toka kwetu tanzania. Hata watokao lamu, burundi uganda pia. Roho zipate nukia, miski inatulazimu. Tusiwazie ugumu, ni nafuu nawambia. Shilingi si darahimu, elfu tano kuchangia. Tiketi kila sehemu, hata kwa simu lipia. Roho ...

Read More »

Kwa ajili ya kupata Radhi za Allah

Umeshawahi kuwa katika sehemu ambayo umezungukwa na watu wengi lakini bado ukajihisi mpweke? Mara nyingine tunahisi kama kuna kitu kimekosekana na mara nyingine tunajilaumu kwa kuwa katika muda huo, mioyo yetu haihisi ukaribu na Allah. Unahisi pumzi kama vile imekuwa nzito na kuna maumivu katika roho yako. Katika njia rahisi za kutufanya tuhisi kama tunavuta pumzi safi na kupelekea kupata ...

Read More »