Tag Archives: TIF

Mahujaji TIF 2018 Wako Tayari Kwa Safari

“labbayka Allaahumma Labbyka, Labbayka Laa Shariika Laka Labbayka, Innal-hamda Wal-ni’mata laka wal-mulk, Laa Shariika Laka” Nimekuitika Mola wangu nimekuitika, Nimekuitika huna Mshirika nimekuitika, Hakika Sifa zote njema na neema na ufalme ni vyako, huna mshirika. Hivyo ndivyo watakavyokuwa wakitamka mahujaji wote wakiwemo sita wanaokwenda chini ya mwavuli wa The Islamic Foundation (TIF) kwa ufadhili wa taasisi ya The Zayed Bin ...

Read More »

Tathmini Ifanyike kwa wanaojihusisha na malezi ya watoto

WADAU wanaojihusisha na malezi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu pamoja na yatima na watu wanao ishi na VVU wametakiwa kufanya tathmini mara kwa mara juu ya huduma hiyo wanayo itoa lengo likiwa ni kuifahamisha jamii juu ya changamoto wanazo kumbana nazo katika utoaji huduma hiyo. Kauli hiyo imetolewa na kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro Ignas Sanga wakati akizungumza ...

Read More »

Mwenyekiti TIF aahdi Polisi Kisima cha Milioni 20

Featured Video Play Icon

TAASISI ya The Islamic Foundation imeahidi  kuchimba kisima chenye thamani ya shilingi milioni 20 katika makazi ya Jeshi la Polisi Mjini Morogoro kutokana na jitihada zao za kuimarisha ulinzi na usalama katika Mkoa huo Ahadi hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation Aref Nahdi mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Saimon Sirro katika kikao maalum ...

Read More »

Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za TIF

#BALOZI wa Comoro nchini #Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za Taasisi ya The Islamic Foundation chini ya mwenyekiti wake Aref Nahdi kwa jitihada kubwa za kuwainua waislamu nchini Tanzania kupitia nyaja mbalimbali ikiwemo kiuchumi,kielimu pamoja na kijamii. BALOZI huyo aliyasema hayo katika ziara aliyoifanya leo makao makuu ya Taasisi ya The Islamic Foundation na kujionea kazi mbali mbali zinazofanywa na #TIF Balozi huyo ameisifu ...

Read More »

TIF Kuchangisha Shilingi Bilioni 6

T aasisi ya The Islamic Foundation (TIF) inatarajia kuchangisha kiasi cha Shilingi bilioni 6 kutoka kwa wahisani na wadau ili kufanikisha mchakato wa utoaji mikopo bila riba kwa wanafunzi wa ngazi mbali mbali za elimu. Mwenyekiti wa TIF, yenye makao yake makuu mjini Morogoro, Aref Nahdi amesema hayo hivi karibuni alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Shule ...

Read More »

TIF: Cheti Cha Heshima

CHUO cha uandishi wa habari Morogoro MSJ kimekabidhi cheti cha heshima kwa vituo vya matangazo vya imaan media vilivyo chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kutambua mchango wake katika kuwaendeleza watendaji wake.

Read More »

TIF: Ziara Kituo cha Kuwahudumia

VIONGOZI wa Taasisi ya The Islamic Foundation, wamefanya ziara katika Kituo cha Kuwahudumia walioathirika na Dawa za Kulevya, cha Free At Last Sober House, kilichopo maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro. Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation, Al-akhy Aref Nahdi ameambatana na Mkurugenzi Mkuuu wa Taasisi hiyo, Sheikh Ibrahim Twaha. Akizungumza na Waathirika hao wa Dawa za ...

Read More »

Last Sober House: Kituweo cha Mbuzi

UONGOZI wa kituo cha kuwahudumia vijana walioathirika na dawa za kulevya, cha Free at Last Sober House, cha kihonda Mjini Morogoro, umeishukuru Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kuwapatia kituweo cha Mbuzi. Uongozi wa Kituo hicho umetoa shukurani hizo, ikiwa imepita siku moja baada ya Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation kuwaahidi kuwapa Mbuzi, kwa ajili ya kituo kwa ...

Read More »

Jeshi la Polisi Laipongeza Imaan Media

JESHI la polisi mkoani Mor o g o r o l i m e m p o n g e z a Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), Aref Nahdi kwa jitihada anazozifanya kupitia vyombo vya habari vya radio, televisheni pamoja na gazeti imaan za kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kupambana na uhalifu nchini hususan mkoani Morogoro. ...

Read More »

DC Wilaya ya Mwanga Aimwagia Sifa TIF

NA AMIRI MVUNGI, ARUSHA Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro Aroon Mbogho amemshukuru Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), Aref Nahdi kwa juhudi zake za kusaidia kwake huduma muhimu za kijamii kwa wakazi wa kijiji cha Masumbeni kilichopo tarafa ya Ugweno. Mbogho ametoa shukrani hizo wakati Mwenyekiti huyo wa TIF alipomtembela ofisini kwake na kueleza kuwa, serikali ...

Read More »