Tag Archives: si kongamano la kukosa

Wahadhiri Misk ya Roho waahidi makubwa

Wahadhiri watakasowasilisha mada katika kongamano la Misk ya Roho litalofanyika Oktoba 28 mwaka huu, wameahidi, Insha Allah, kutoa ujumbe mzito utakaobadili fikra za watu wengi, na kuboresha ufahamu wao juu ya Utukufu wa Mwenyezi Mungu. Baadhi ya masheikh hao walioongea na Gazeti Imaan wamewataka Waislamu kujitahidi kutokosa kuhudhuria kongamano ambalo linawakutanisha Watanzania na wahadhiri na masheikh wa ndani na nje ...

Read More »

Si Kongamano la kukosa, Misk ya roho 2018

Wakati wananchi wengi wakionesha hamu, shauku na matarajio makubwa ya kufukizwa na Misk ya Roho Jumapili hii Oktoba 28, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Mkurugenzi wa Makongamano wa The Islamic Foundation (TIF), TajMohammed Abbas ametaja baadhi ya mada zitakazowasilishwa katika kongamano hilo. Miongoni mwa mada hizo ni pamoja na kumpenda Allah, ukubwa wa Allah, kanuni za Allah katika maisha yetu, ...

Read More »