Tag Archives: Msikiti

Uzinduzi wa Msikiti Al Gafar

WAISLAMU wametakiwa kutokutumia Misikiti kama sehemu yakutangazia biashara zao na matangazo mengine mbalimbali suala ambalo sio mafundisho ya Mtume Muhammad (Rehma na Amani iwe juu yake) na badala yake itumike katika mambo ya ibada. Nasaha hizo zimetolewa na Sheikh Mikidadi Lipena wakati wa Khutba yake akiwahutubia waumini katika Msikiti wa Al Ghafar uliopo katika kijiji cha Changarawe kilichopo kata ya ...

Read More »