Tag Archives: Morogoro

Uzinduzi wa Msikiti Al Gafar

WAISLAMU wametakiwa kutokutumia Misikiti kama sehemu yakutangazia biashara zao na matangazo mengine mbalimbali suala ambalo sio mafundisho ya Mtume Muhammad (Rehma na Amani iwe juu yake) na badala yake itumike katika mambo ya ibada. Nasaha hizo zimetolewa na Sheikh Mikidadi Lipena wakati wa Khutba yake akiwahutubia waumini katika Msikiti wa Al Ghafar uliopo katika kijiji cha Changarawe kilichopo kata ya ...

Read More »

Mahafali ya Madrasatul Haqq

Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation Aref Nahdi amewataka wazazi na walezi wa kiislam nchini kujitoa kwa ajili na dini yao ikiwa ni pamoja na kuchangia maendeleo ya uislamu. Mwenyekiti Aref ametoa kauli hiyo katika hafla ya Mahafali ya madarasa ya Haqq inayopatikana Karume mkoani Morogoro na kuongeza kuwa ni muhimu kwa kila mzazi wa kiislam na waislam kiujumla ...

Read More »

TIF: Cheti Cha Heshima

CHUO cha uandishi wa habari Morogoro MSJ kimekabidhi cheti cha heshima kwa vituo vya matangazo vya imaan media vilivyo chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kutambua mchango wake katika kuwaendeleza watendaji wake.

Read More »

"Kufata Sheria Katika Nasaha" || Masjid al-Haq || Morogoro ||

WAISLAMU nchini wametakiwa kuwa makini katika kutoa nasaha ambazo mtume Muhamad SAW amefundisha utaratibu wake kwa kuzinatia sheria za dini na kujiepusha kuamini moja kwa moja mitandao ya kijamii. Kauli hiyo imetolewa na imamu msaidizi wa msikiti wa Haq shekh Ally Mussa wakati akitoa hutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti huo. Aidha Shekh Ally Mussa ameongeza kuwa ...

Read More »

Last Sober House: Kituweo cha Mbuzi

UONGOZI wa kituo cha kuwahudumia vijana walioathirika na dawa za kulevya, cha Free at Last Sober House, cha kihonda Mjini Morogoro, umeishukuru Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kuwapatia kituweo cha Mbuzi. Uongozi wa Kituo hicho umetoa shukurani hizo, ikiwa imepita siku moja baada ya Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation kuwaahidi kuwapa Mbuzi, kwa ajili ya kituo kwa ...

Read More »