Tag Archives: miskyaroho

Kumbukizi ya Misk ya Roho ya 2017

Mnamo Novemba 26, 2017, historia iliandikwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kufanyika kwa kongamano kubwa la kwanza lililojumuisha masheikh mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki. Masheikh hao walikutanishwa katika jukwaa moja na kukonga nyoyo za Waislamu sio tu wa Afrika ya Mashariki bali duniani kote kwa ujumla ambao walifuatilia tukio hilo kupitia vyombo vya habari. Misk ya Roho ni ...

Read More »

Kuelekea Kongamano la Misk ya Roho

WAISLAMU Nchini wametakiwa kuunga mkono na kuwa mstari wa mbele kujitolea katika masuala ya Dini na sio kubeza baadhi ya mada zitakazowasilishwa na Masheikh mbalimbali kwenye Makongamano ya Dini. Hayo yameelezwa na Sheikh Nurdin Kishki katika kipindi Maalumu kilichoangazia Kongamano la kwanza la afrika Mashariki chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation la Misk ya Roho litakalo fanyika siku ya ...

Read More »