Tag Archives: Misk ya roho 2018

Sheikh Ally Jumanne achambua anga za juu

Wakati wanadamu tukichukulia dunia kama kitu kikubwa, ukweli ni kwamba sayari yetu hii tunayoishi ndani yake ni tone tu la maji katika bahari ya Mwenyezi Mungu ya uumbaji wake. Hayo yalijulikana kupitia mada iliyowasilishwa na Sheikh Ally Jumanne katika kongamano la Misk ya Roho 2018 lililofanyika katika ukumbi Diamond Jubilee jumapili iliyopita, ambapo Sheikh huyo wa Morogoro alichambua sayari za ...

Read More »

Kumtii Allah si maneno tu bali vitendo, Sheikh Abduweli

“ Kumshukuru Allah si kusema Alhamdulillah, bali kumtii kwa kutenda mema na kuacha makatazo yake.” Hayo ni maneno aliyoyasema Sheikh Muhammad Abduweli wakati wa Kongamano la Kida’awa la Afrika Mashariki ‘Misk ya Roho’ lililofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam. Sheikh Abduweli aliyekuwa akiwasilisha mada ‘Ukubwa wa Mwenyezi Mungu’ alisema kuwa watu wengi katika zama ...

Read More »

Nahdi awashukuru waliohudhuria, agusia mabadiliko ya Kongamano

Mwenyekiti wa taasisi ya The Islamic Foundation [TIF], Aref Nahdi ameonesha kufurahishwa na mahudhurio makubwa ya watu katika kongamano la pili la Misk ya Roho lililofanyika Oktoba 28 mwaka huu na kubainisha kuwa anawashukuru wote waliohudhuria. Nahdi amesema mahudhurio hayo makubwa ni ishara kuwa Waislamu wanaipenda dini yao na hivyo kuwaomba wazidi kushiriki makongamano mengine ili kuusukuma mbele Uislamu. Katika ...

Read More »

Mwenye matatu ameonja ladha ya Imani, Sheikh Bizimana

Imeelezwa kuwa ili mtu aonje ladha ya Imani, hana budi kumpenda zaidi Allah na Mtume wake, kuwapenda watu kwa ajili ya Allah na kuchukia ukafiri. Sheikh Zuberi Bizimana, Mhubiri na Mlinganiaji wa dini ya Kiislamu kutoka nchini Burundi, ameyasema hayo hivi karibuni wakati wa kongamano la kida’awa la Afrika Mashariki lijulikanalo kama Misk ya Roho. Katika maelezo yake, Sheikh Bizimana ...

Read More »

Sheikh Abdi: Elimu zote mbili zinamuezesha mtu kumfahamu Allah

Sheikh Yusuf Abdi kutoka nchini Kenya amewataka Waislamu kusoma elimu ya dini na ya mazingira akisema kuwa elimu zote hizo zinamuwezesha mwanadamu kumfahamu Mwenyezi Mungu juu ya uwezo na nguvu zake. Mhadhiri huyo kutoka Kenya aliyasema hayo katika kongamano la pili la Misk ya Roho lililofanyika Oktoba 28 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambapo ...

Read More »

Hongereni wote mliojitokeza Misk ya Roho

Oktoba 28 ya mwaka huu ilikuwa ni siku nzuri ya Waislamu hapa nchini kujumuika kwa minajili ya kupata ujumbe wa dini yao tukufu ya Uislamu. Mjumuiko huo ulifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambapo Waislamu walijazwa maarifa yaliyomo ndani ya dini yao tukufu ya Uislamu kutoka kwa mtoa mada mmoja hadi mwingine hadi watoa mada wote ...

Read More »

Misk ya Roho: Wahadhiri walivyokonga nyoyo za Waislamu

Mada zilizowasilishwa na wahadhiri katika kongamano la pili la kida’awa la Misk ya Roho Jumapili ya Oktoba 28 mwaka huu zimeonekana kuwagusa watu wengi ambao wanashuhudia kuwa zimebadili fikra zao na kusaidia kuwaongezea kiwango cha ufahamu juu ya dini yao ya Uislamu. Katika kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na umati wa watu, mada ...

Read More »

Wahadhiri Misk ya Roho waahidi makubwa

Wahadhiri watakasowasilisha mada katika kongamano la Misk ya Roho litalofanyika Oktoba 28 mwaka huu, wameahidi, Insha Allah, kutoa ujumbe mzito utakaobadili fikra za watu wengi, na kuboresha ufahamu wao juu ya Utukufu wa Mwenyezi Mungu. Baadhi ya masheikh hao walioongea na Gazeti Imaan wamewataka Waislamu kujitahidi kutokosa kuhudhuria kongamano ambalo linawakutanisha Watanzania na wahadhiri na masheikh wa ndani na nje ...

Read More »

Si Kongamano la kukosa, Misk ya roho 2018

Wakati wananchi wengi wakionesha hamu, shauku na matarajio makubwa ya kufukizwa na Misk ya Roho Jumapili hii Oktoba 28, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Mkurugenzi wa Makongamano wa The Islamic Foundation (TIF), TajMohammed Abbas ametaja baadhi ya mada zitakazowasilishwa katika kongamano hilo. Miongoni mwa mada hizo ni pamoja na kumpenda Allah, ukubwa wa Allah, kanuni za Allah katika maisha yetu, ...

Read More »

Kauli ya Mwenyekiti TIF, Misk ya Roho II

Awali ya yote nimshukuru Allah (Subhanahu wata’alah) kwa kuendelea kutuazima pumzi yake na kututunuku afya na nguvu za kuweza kuandaa Kongamano la pili la Misk ya Roho mwaka 2018. Kongamano hili la pili litakalofanyika Oktoba 28 katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini hapa jijini Dar es Salaam, limeandaliwa kufuatia lile la kwanza lililofanyika kwa mafanikio makubwa Novemba 26 mwaka jana ...

Read More »