Tag Archives: magonjwa

‘TIF Girls’ wawafariji watoto Muhimbili

Vijana wa kujitolea wa taasisi ya The Islamic Foundation upande wa wanawake (TIF Girls) wameendeleza utaratibu wao wa kujitolea kusaidia masuala anuai ya kidini na kijamii, ambapo hivi karibuni waliwatembelea watoto wenye maradhi ya vichwa vikubwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa lengo la kuwafariji. Safari hiyo ni mwanzo wa azma endelevu ya kutembelea wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi tofauti ...

Read More »

Vyakula na magonjwa

Uzito kupita kiasi una madhara kwa wenye VVU? Virusi Vya UKIMWI (VVU) ni vimelea vinavyosababisha hali ya UKIMWI kwa kushambulia mfumo wa kinga ya mwili. Kinga ya mwili wa mtu inaposhuka husababisha mwili kushindwa kupambana na VVU na hivyo kuruhusu magonjwa nyemelezi kupenyeza kirahisi. Vimelea hivi vya VVU huishi na kuzaliana ndani ya chembechembe hai za kinga ya mwili ziitwazo ...

Read More »