Tag Archives: kuinda jamii na ufisadi

Wanahubiri maadili lakini ni mafisadi

Ufisadi ni msamiati maarufu katika medani ya siasa na uchumi hususan barani Afrika. Katika Uislamu, msamiati huu umepata umaarufu kwa sababu zipo aya za Qur’ an zinazokemea ufisadi. Mathalan, katika Surat Rum, Allah ‘Azza Wajallah’ anasema: “Ufisadi umeenea nchi kavu na baharini kwa sababu ya yale yaliyofanywa na mikono ya watu, ili Mwenyezi Mungu awaonyeshe baadhi ya waliyoyatenda. Huenda wakarejea ...

Read More »