Tag Archives: khutbah

Kutopupia Riziki

Featured Video Play Icon

MLINGANIAJI wa kimataifa kutoka nchini Burundi Sheikh Zuberi Bizimana amewataka waislamu nchini kuto pupia katika masuala ya utafutaji wa riziki na badala yake kuwa na subra ikiwa ni pamoja na kuzudisha uchamungu mbele ya ALLAH (ametakasika na ametukuka). Sheikh Zuberi Bizimana ameyasema hayo wakati akitoa khutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti wa haqq uliopo mtaa wa Karume ...

Read More »

Waislamu wametakiwa kushirikiana

WAISLAMU nchini wametakiwa kuishi kwa kushirikiana baina yao katika mambo mbalimbali hapa dunia kwa lengo la kufuata mwenendo mwema wa mtume Muhamad SAW pamoja na waja wema waliyo tangulia. Kauli hiyo imetolewa na mlinganiaji wa dini tukufu ya kiislamu Shekh Kombo Ally Fundi wakati akitoa hutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti wa haqq uliyopo mtaa wa Karume ...

Read More »

Khutbah kwaurefu: Ziokoeni Nafsi Zenu…

WAISLAMU nchini wametakiwa kujikita zaidi katika kuwapeleka watoto wao kusoma elimu ya #dini lengo ikiwa ni kutambua #elimu ya ALLAH SWT ambayo itawasaidia katika Maisha ya hapa duniani na kesho akhera. Nasaha hizo zimetolewa na Imamu msaidizi wa Msikiti al #Haqq Sheikh Ally Mussa wakati akitoa Khutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti huo uliyopo mtaa wa karume ...

Read More »