Tag Archives: ibada ya hijja

Hijja Itufunze Kumcha Allah Kikamilifu

Ibada ya Hijja ilimalizika rasmi katika mji Mtakatifu wa Makka na kisha mahujaji wakaelekea mjini Madina kwa ajili ya kuzuru maeneo mbalimbali ya kihistoria ukiwemo msikiti wa Mtume [Masjid Nnabawiy]. Naam! hii ni safari muhimu inayopaswa kuendewa na kila muislamu mwenye wasaa, kwani Mtume [rehema za Allah na amani zimshukie] amesema: “Isifungwe safari ndefu [kwa ajili ya ibada] isipokuwa kwenda katika ...

Read More »