Tag Archives: haki za watoto

Tunao wajibu wa kuwalinda watoto walemavu

Watoto walemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu hivyo wanayo haki ya kufurahi na kujumuika katika familia. Watoto hawa wana ndoto kama watu wengine. Wapo wanaotamani kuwa Masheikh, madaktari, walimu, wahandisi, wafanyabiashara, wakulima nk. Ili kuzifikia ndoto hizi ni jukumu la jamii kuwatengenezea mazingira rafiki. Mazingira hayo yatawarahisishia kupata huduma muhimu kulingana na ulemavu wao. Kwa kuanzia, ni jukumu la ...

Read More »