Tag Archives: Elimu

Tuziunge mkono taasisi za dini kuwekeza sekta ya elimu

Miongoni mwa habari zilizowahi kuandikwa katika toleo la gazeti Imaan ni inayohusu taasisi ya Direct Aid yenye makao yake makuu nchini Kuwait ikisema kuwa itazidi kuwekeza kwenye sekta ya elimu hapa nchini na kwingineko duniani. Zaidi, taasisi hiyo imesema kuwa, huwa inatumia asilimia 80 ya bajeti yake katika sekta hiyo, kama alivyobainisha Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dkt. Abdallah Al Subayt. ...

Read More »

Msikate tamaa na rehema za Allah

Abu Sa’id al-Khudri (Allah amridhie) amemnukuu Mjumbe wa Allah (rehema za Allah na amani zimshukie) amesema alikuwepo mtu mmoja miongoni mwa wale waliokuwepo kabla yenu ambaye aliuwa watu 99, akaulizia mtu mjuzi zaidi katika ardhi, na kufahamishwa kwa mtawa wa kinaswara. Mtu yule akamwendea yule Mtawa na kumwambia kuwa, ameua watu 99. Kisha akamuuliza? ‘Je, ntakubaliwa toba yangu?” (Yule mtawa) akamwambia, hapana. ...

Read More »

Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za TIF

#BALOZI wa Comoro nchini #Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za Taasisi ya The Islamic Foundation chini ya mwenyekiti wake Aref Nahdi kwa jitihada kubwa za kuwainua waislamu nchini Tanzania kupitia nyaja mbalimbali ikiwemo kiuchumi,kielimu pamoja na kijamii. BALOZI huyo aliyasema hayo katika ziara aliyoifanya leo makao makuu ya Taasisi ya The Islamic Foundation na kujionea kazi mbali mbali zinazofanywa na #TIF Balozi huyo ameisifu ...

Read More »