Tag Archives: Allah

Maajabu ya Bismillah

‘Bismillah’ ni kalima (tamko) maarufu kwa kila Muislamu. Ni tamko la ufunguo ambalo hutumika kabla ya kuanza kufanya jambo lolote. ‘Bismillah’ ni neno la ajabu kwa kuwa limepenya na kutumika katika maeneo mengi sana. Jambo la kushangaza na pengine la kufurahisha ni kuwa, wapo Waislamu wengi ambao wameutupa mbali Uislamu wao, lakini, utawasikia kabla ya kula, au kuanza safari kwa ...

Read More »

Mazingatio Kutoka Hijja

Ni wajibu wetu kutambua kuwa katika safari ambayo mwisho wake ni kukutana na Mwenyezi Mungu Aliyetukuka atulipe tuliyoyatanguliza kwake, Mwerevu ni yule anayetumia nguvu, afya na mali yake katika yatakayomnufaisha hapo baadae. Mjanja zaidi ni anayetumia fursa za nyakati bora kwani masiku yenye ubora humalizika haraka. Chonde chonde, tusibakie na umaskini wa ugumu wa nyoyo, kupoteza muda na kuchezea fursa ...

Read More »