Zingatia / Contemplate

Hijja Itufunze Kumcha Allah Kikamilifu

Ibada ya Hijja ilimalizika rasmi katika mji Mtakatifu wa Makka na kisha mahujaji wakaelekea mjini Madina kwa ajili ya kuzuru maeneo mbalimbali ya kihistoria ukiwemo msikiti wa Mtume [Masjid Nnabawiy]. Naam! hii ni safari muhimu inayopaswa kuendewa na kila muislamu mwenye wasaa, kwani Mtume [rehema za Allah na amani zimshukie] amesema: “Isifungwe safari ndefu [kwa ajili ya ibada] isipokuwa kwenda katika ...

Read More »

Mazingatio Kutoka Hijja

Ni wajibu wetu kutambua kuwa katika safari ambayo mwisho wake ni kukutana na Mwenyezi Mungu Aliyetukuka atulipe tuliyoyatanguliza kwake, Mwerevu ni yule anayetumia nguvu, afya na mali yake katika yatakayomnufaisha hapo baadae. Mjanja zaidi ni anayetumia fursa za nyakati bora kwani masiku yenye ubora humalizika haraka. Chonde chonde, tusibakie na umaskini wa ugumu wa nyoyo, kupoteza muda na kuchezea fursa ...

Read More »

Cassini will be ‘retired’ today

This is a photograph taken by NASA’s satellite Cassini, while it was in orbit around Saturn, 1,200,000,000 km away from Earth. You can clearly see the rings of Saturn. And there, way back there in the background, 1.2 billion km away, as a small blue dot, highlighted by that arrow, is our planet Earth. Your whole life, and mine, and ...

Read More »

Cassini (satelaiti) ‘itastaafishwa’ leo

Hii ni picha iliyochukuliwa na satellite ya NASA ya Cassini, wakati ambao satellite hiyo ilikuwa inaizunguka Saturn, ikiwa kilomita 1,200,000,000 mbali na Dunia. Unaweza kuona kwa uwazi pete za Saturn. Na hapo, upande ama ubavu wa nyuma, umbali wa kilomita bilioni 1.2 mbali, kuna mithili ya kidoti kidogo cha bluu, kilichooneshwa na huo mshale , Hiyo ndio sayari yetu ya ...

Read More »