TIF News

TIF yakabidhi misaada ya awamu ya pili Pemba

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) yenye makao yake makuu mjini Morogoro imekabidhi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) awamu ya pili ya misaada ya zaidi ya tani 9 za vyakula mbalimbalikwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Pemba. Mkurugenzi wa Idara ya Mipango wa TIF, Mussa Buluki, ameliambia Gazeti Imaan kuwa misaada hiyo imetokana na Shilingi Milioni 28 ...

Read More »

TIF Yatoa Matibabu Bure kwa Wagonjwa 2,600

TAASISI ya The Islamic Foun- dation (TIF) imefanikiwa ku-toa matibabu bure ya maradhi mbalimbali kwa zaidi ya wagonjwa 2,600 wilayani Sengerema, mkoa- ni Mwanza. Naibu Mkurugenzi wa taasisi hiyo mkoani Mwanza, Mbaraka Saidi, amekiambia kipindi cha ‘Sayari ya Imaan’ kinachorushwa na Televisheni ya Imaan kuwa kambi hiyo ilidumu kwa siku mbili na kufanyika katika Shule ya Se- kondari ya Sengerema ...

Read More »

Waathirika Maafa Pemba Wapokea Misaada

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) imekabidhi jumla ya tani 22.5 za chakula kwa waathirika wa mafuriko katika kisiwa cha Pemba ili kuwapunguzia makali ya maisha waathirika hao. TIF ilikabidhi misaada hiyo iliyokusan- ywa kutoka kwa wadau mbalimbali, kwa waathirika katika mikoa miwili ya Kaska- zini Pemba na Kusini Pemba, huku wilaya zilizofaidika zikiwa ni pamoja na Mkoani, Chakechake, Wete, ...

Read More »

TIF yapokea tende kutoka Falme za Kiarabu

TAASISI ya The Islamic Founda- tion (TIF) imepokea kutoka katika Umoja wa Falme za Ki- arabu (UAE) zaidi ya boksi za tende kwa ajili ya kuzigawa katika maeneo mbalimbali katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Akizungumza baada ya tende hizo kuwasili nchini, Mwenyekiti wa TIF, Aref Nahdi ameushukuru Ubalozi wa Falme za Kiarabu nchi- ni kwa kusaidia Waislamu pamoja ...

Read More »

Kamati ya ujenzi masjid Falaah, Kilombero yaishukuru TIF

KAMATI ya Ujenzi wa Msikiti wa Falaah Kilombero KII, mkoani Morogoro imeishukuru Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) kwa ku- saidia ujenzi wa msikiti huo uliozin- duliwa hivi karibu. Akikabidhi barua ya shukrani kwa Mwenyekiti wa TIF Aref Nahdi, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Abubakar Daiy alisema wanashukuru kwa ujenzi wa msikiti, nyumba ya Imam na kitega uchumi cha maduka. Daiy ...

Read More »

Mufti Z’bar Aishukuru TIF Kwa Msaada Wa Misahafu

NA MWANDISHI WETU. Mufti wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kaabi, ameishukuru The Islamic foundation(TIF) kwa msaada wa misahafu na juzu ama. Kwa niaba ya Mufti, shukrani hizo zilitolewa na Fadhili S. Soraga ambaye ni Katibu wa Mufti ambapo alisema wamepokea jumla ya masanduku 82 ya misahafu na juzuu, kama alivyoahidi Mwenyekiti wa TIF, Aref Nahdi. Katika barua yao kwenda kwa ...

Read More »

TIF Kuchangisha Shilingi Bilioni 6

T aasisi ya The Islamic Foundation (TIF) inatarajia kuchangisha kiasi cha Shilingi bilioni 6 kutoka kwa wahisani na wadau ili kufanikisha mchakato wa utoaji mikopo bila riba kwa wanafunzi wa ngazi mbali mbali za elimu. Mwenyekiti wa TIF, yenye makao yake makuu mjini Morogoro, Aref Nahdi amesema hayo hivi karibuni alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Shule ...

Read More »

TIF Yasaidia Kituo Cha Kutibu Waathirika wa ‘Unga’

Kassim Lyimo, Moro VIONGOZI wa taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) wameahidi kusaidia kituo cha kuwahudumia walioathirika na dawa za kulevya kiitwacho Free at Last Sober House kilichopo maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro. Ahadi hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Aref Nahdi alipotembelea kituo hicho akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Sheikh Ibrahim Twaha. Akizungumza na waathirika wa ...

Read More »

TIF Kumleta Nchini Mhadhiri Wahaj Tarin

  NA MWANDISHI WETU Taasisi ya The Islamic Foundation(TIF) inatarajia kumleta nchini mhadhiri wa kimataifa kutoka nchini Australia, Ustadh Wahaji Tarin ikiwa ni muendelezo wa juhudi za taasisi hiyo za zoezi kuwaleta wanazuoni wakubwa ulimwengu nchini kwa ajili ya da’wah. Mwaka jana TIF ilimleta nchini Mufti wa Zimbabwe na Mhubiri wa Kimataifa, Ismail bin Musa Menk. Mhadhiri anayekuja safari hii, ...

Read More »

TIF: Cheti Cha Heshima

CHUO cha uandishi wa habari Morogoro MSJ kimekabidhi cheti cha heshima kwa vituo vya matangazo vya imaan media vilivyo chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kutambua mchango wake katika kuwaendeleza watendaji wake.

Read More »