Fahamu usyoyajua
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
EMU: Ndege mwenye kasi ya ajabu kutoka Australia
Naam ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa safu hii, karibu tena katika makala hizi kuhusu viumbe mbalimbli wa Allah, Mbora…
Read More » -
Tujiandae, kifo huja ghafla, mahali popote
Abdullahi bin Mubaarak (Allah amrehemu) amesimulia kwamba, wakati Abu Huraira (Allah amridhie) alipoumwa maradhi yake ya mwisho alilia sana, akaulizwa:…
Read More » -
Ugonjwa wa seli mundu: sababu, dalili na namna ya kuishi nao
Seli mundu ni ugonjwa wa kurithi unaoathiri chembe nyekundu za damu, na kuzipa umbo la mwezi au mundu badala ya…
Read More » -
Safia bint Huyay, mke wa Mtume kutoka jamii ya Kiyahudi
Maisha ya mitume na maswahabaAllah alipomtuma Mtume aliyetokana na Waarabu wa Bani Hashim (Makureish) kwa watu, Wayahudi walichukia sana na…
Read More » -
Suhayl bin Amr, Mjumbe wa Makureish katika mkataba wa Hudaibiya
Jitihada zake kiibada na kujielimishaSuhayl alijutia kuutumia umri wake mwingi ovyo na kwa aliyoyafanya kabla ya kusilimu. Hivyo basi, tangu…
Read More » -
Canada Lynx: Paka anayehimili kuishi kwenye baridi
Ndugu yangu msomaji, hakika Allah, Mbora wa Uumbaji ana Utukufu wa hali ya juu. Utabaini hilo ukitazama viumbe mbalimbali alivyoviumba…
Read More » -
Namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hali ya kihisia na kimwili inayotokea mtu anapokabiliana na changamoto, shinikizo, au mahitaji yanayozidi uwezo wake…
Read More » -
Utambulisho wa Kiislamu na umuhimu wa lugha ya Kiarabu
Watafiti wengi wanaichukulia lugha kama kipengele cha utambulisho, na baadhi yao hiki ni kipengele muhimu sana cha utambulisho. Hilo ni…
Read More » -
Nimepata hadhi hii kwa sababu ya kuacha yasiyonihusu
Kutoka kwa Anas bin Malik (Allah amridhie) amesimulia kuwa, mtu mmoja alifariki wakati wa Mtume (rehema na amani ya Allah…
Read More » -
Kwa nini watoto wanadeka, wananungunika?
Moja kati ya changamoto ambazo wazazi wengi tunakumbana nazo ni tabia ya watoto kulalamika, kulia, kudeka na kuneng’eneka.Kuna sababu chache…
Read More »