Nasaha za Wiki

Wanahubiri maadili lakini ni mafisadi

Ufisadi ni msamiati maarufu katika medani ya siasa na uchumi hususan barani Afrika. Katika Uislamu, msamiati huu umepata umaarufu kwa sababu zipo aya za Qur’ an zinazokemea ufisadi. Mathalan, katika Surat Rum, Allah ‘Azza Wajallah’ anasema: “Ufisadi umeenea nchi kavu na baharini kwa sababu ya yale yaliyofanywa na mikono ya watu, ili Mwenyezi Mungu awaonyeshe baadhi ya waliyoyatenda. Huenda wakarejea ...

Read More »

Matamanio ya nafsi yanavyosababisha uasi

Ibada ni asili ya mwanadamu kama anavyosema Allah ‘Azza Wajallah’ katika aya mashuhuri: “Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu.” (Qur’an, 51:56). Lakini kwa sababu ya kuwapo vita baina ya haki na batili na mivutano mikubwa baina ya kambi mbili hizi kunapelekea wakati mwingine mizani kutetereka na mambo kuharibika hasa pale nguvu ya kishetani ya batili inapoonekana kushika hatamu katika ...

Read More »

Sheikh: Saudi Arabia haijaharibu maeneo ya historia

Imefafanuliwa kuwa maeneo takribani yote yaliyobeba historia ya Uislamu nchini Saudi Arabia tangu enzi za Mtume Muhammad [rehema za Allah na amani zimshukie] na hata baada ya kufariki kwake, bado yanatunzwa na kulindwa tofauti na inavyoelezwa na baadhi ya watu. Ufafanuzi huo umetolewa na Sheikh Haruna Jumanne Kapama katika mahojiano maalumu na gazeti imaan, akijibu tuhuma kuwa, Saudi Arabia imekuwa ...

Read More »

Tuendeleze somo la kusamehe, kuvumilia tulilolipata ndani ya Ramadhani

Kwa hakika ngao pekee inayoweza kum- kinga muumini kutokana na dosari za kibinadamu ni kutubia makosa pamo- ja na kukithirisha ‘Istighfaar’ yaani ku- muomba msamaha Mwenyezi Mungu. Mwezi wa Ramadhani ni fursa muhimu ya kutekeleza amali hizi kikamilifu. Pamoja na umuhimu huo, bado mion- goni mwetu hatuna utayari wa kuitekeleza ibada hii kutokana na kuipa thamani ndo- go, na ndio ...

Read More »

Darasa za ramadhani zituongoze katika kumcha allah vilivyo

Darasa za Ramadhani ni moja ya vikao muhimu vinavyoweza kumbadilisha Muislamu kutoka kwenye maisha ya uchaji viumbe/vitu hadi UchaMungu. Dar- asa hizi ambazo nyingi hufanyika misikitini nyakati za jioni, zimekuwa na umuhimu mkubwa hususan katika zama hizi ambapo Waislamu hawana hima ya kusoma dini yao. Kuna mengi ya kujifunza kupitia darasa za Ramadhani ikiwa ni safari ya kuelekea kwenye maisha ...

Read More »

Kila la kheri washiriki, waandaaji mashindano ya Qur’an

Mwezi wa Ramadhani ni mwezi bora kuliko miezi yote, na moja kati ya saba- bu ya ubora wake ni kule kuter- emshwa katika mwezi huu Qur’ an Tukufu kama ilivyothibiti ndani ya Qur’an:“Mwezi wa Ra- madhani ndio ambao imeterem- shwa Qur’ an ili iwe uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uon- gofu na upambanuzi (wa baina ya haki ...

Read More »

Tutumie Ramadhani kujifunza kusameheana

Kutubia makosa na kukithirisha ‘istigh- faar’ yaani kumuomba msamaha Allah, ni ngao mbili muhimu zinazoweza kum- kinga muumini kutokana na dosari za kibin- adamu. Mwezi wa Ramadhani ni fursa muhimu ya kutekeleza amali hizi kikamilifu. Pamoja na umuhimu huo, baadhi yetu tu- mekosa utayari wa kutekeleza ibada hii kuto- kana na kuipa thamani ndogo, na ndiyo maana kila mwaka tunafunga ...

Read More »

Qur’an Inasemaje Ndugu Wanapogombana?

Mapema wiki hii, baadhi ya nchi zinazounda Umoja wa Ghuba (GCC) zilisitisha uhusiano wao wa Kidiplomasia na nchi ya Qatar. Nchi hizo ni pamoja na Saudi Arabia, Misri, Bahrain, Yemen, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Kisi- wa cha Maldives. Kuna mengi yametajwa kama chanzo cha mvutano huo, lakini sisi kama chombo cha habari cha Kiislamu kinachopendelea na kuhimiza ...

Read More »

ramadhani ituandae kutekeleza ibada ipasavyo

Hakika Mwenyezi Mungu amewaumba majini na wanadamu kwa hekima na lengo maalum, nalo ni kumuabudu Yeye Peke Yake. Pamoja na ukweli huo wan- adamu wengi wanaamini kuwepo kwao duniani ni kwa bahati tu (by chance). Pia, kuna waliochupa mipaka na kudha- ni kuwa uhai wa duniani hauna lengo jin- gine lolote zaidi ya kustarehe na kusubiri kifo. Miongoni mwa hao ...

Read More »

Funga ni zaidi ya kuacha kula na kunywa

Ramadhani ni mwezi ambao Allah ameufadhilisha na ku- upa hadhi ya kipekee. Mion- goni mwa fadhila zinazopatikana ndani ya mwezi huu mtukufu ni waumini kusamehewa mad- hambi, kufungwa milango ya moto na kufunguliwa milango ya pepo. Pia, ndani ya Mwezi wa Ram- adhani, hupatikana usiku bora (Laylatul Qadr), usiku ambao Muislamu akidiriki kufanya iba- da hupata malipo ya miezi elfu ...

Read More »