Kitaifa

Sheikh AlKhaderi Ataka Media’ za Kiislamu Zisiwagawe Waumini

Ili kukuza na kuendeleza umoja wa Waislamu, vyombo vya habari vya Kiislamu vimetakiwa kutokuwa chanzo cha kuwagawa waumini wa dini hii tukufu. Hayo yamesemwa na Msimamizi Mkuu wa Africa TV Group, Sheikh Mohammed Abdulaziz AlKhaderi wakati wa utambulisho wa usajili wa luninga ya Africa TV jijini Dar es Salaam. Sheikh AlKhaderi alisema ni vema vyombo vya habari viliopo sasa vikawa ...

Read More »