Kitaifa

Mji wa Jerusalem ni Milki ya Nani? 2

Sehemu ya Pili (Sehemu ya kwanza – Bonyeza Hapa)  Utangulizi Katika toleo lililopita tuliuliza swali la kujiuliza, ni kwa nini hali iwe hivi kwa mji wa Yerusalem? Ni nani mmiliki wa mji wa Yerusalemu? Umiliki wake anaupata kwa misingi gani? Kuwa wa kwanza kusihi pale, kupewa na Mwenyezi Mungu, kupewa na Umoja wa mataifa au kuwa mbabe kuwazidi wengine? Tulielezea ...

Read More »

Mji wa Jerusalem ni Milki ya Nani?

Sehemu ya Kwanza Historia ya mji wa Baytul Muqaddas au Yerusalemu kwa Kiswahili, Jerusalemu kwa Kiingereza ni mji wenye kuvuta hisia  za waumini wa dini kuu tatu ulimwenguni yaani Waislamu, Wakristo na Wayahud. Historia ya mji huu ni historia ngumu kuliko mji wowote ule duniani tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Wanahistoria wanaeleza kwamba mji wa Yerusalemu umeangamizwa kabisa mara tatu, umezingirwa ...

Read More »

Mashindano ya Qur’an ya afrika yatia fora Dar

Katika kuonesha mapenzi yao na Kitabu Kitukufu cha Allah, Qu’ani, maelfu ya watu walihudhuria Ju- mapilihiikwenyemashindanoya Kimataifayauso- maji Qur’ani kwa ghaibu yaliofanyika uwanja wa Taifa ji- jini Dar es Salaam. Uwanja huo unaochukuwa watu takribani 60,000, ulifurika na hivyo watu wengi zaidi kulazimika kubaki nje. Hali hiyo ilimlazimu Mratibu wa Mashindano hayo, Sheikh Nurdeen Kishki kuomba radhi na kutoa ombi ...

Read More »

VPN yaja na mkakati kuendeleza vipaji vya watoto wa kiislamu

Ili kufanikisha malengo ya wato- to wenye vipaji, wazazi nchini wamehimizwa kuwalea vijana wao katika nidhamu ya kumtam- bua Allah kwani kufanya hivyo ndiyo njia ya kukuza na kuhuisha vipaji vyao. Dkt. Hassan Mshinda, Mkuru- genzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia amebaini- sha hayo wakati wa hafla ya futari na kuwachangia wanafunzi wenye vipaji iliyoandaliwa na ...

Read More »

Tabia Zetu Ziakisi Ujumbe wa Qur’an!

Tupo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Nimweziuliochaguli- wa na Allah ‘Azza wa Jalla’ kama mwezi wa kufunga. Mwenyezi Mungu ameupendelea mwezi huu kuliko miezi mingine yote kwa kuu- fanya kuwa mwezi wa rehema na toba kwa waumini wote. Hakika Ramadhani ndiyo mwezi mkuu ku- liko yote! Mwezi ambao Allah ‘Azza wa Jalla’ alianza kushusha ujumbe wake wa mwisho kwa wanadamu ...

Read More »

Kuwa Mkarimu Ndani ya Ramadhani

Mtume (rehema na amani ya Allah zimshukie) amesema katika Hadithul quds kwamba Allah amesema: “Enyi waja wangu, kama wa mwanzo wenu na wa mwisho wenu, katika watu na majini, wangesimama katika uwanja mmoja wakaniomba; nikiwapa kila mmoja kile alichokiomba, kisingepun- gua chochote katika yale niliyokuwa nayo isipokuwa ni kama unavyopun- guza uzi uchovywao katika bahari,” (Muslim). Pia Mtume (rehema na ...

Read More »

Mwinyi Ahimiza Maimamu Wawe Waliohifadhi Qur’an

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muugano wa Tan- zania, Ali Hassan Mwinyi ame- shauri kuwa maimamu katika misikiti nchini wawe ni watu walio- hifadhi Kitabu cha Mwenyezi Mun- gu, Qur’an Tukufu. Mzee Mwinyi alitoa ushauri huo wakati wa mashindano ya usomaji Qur’an yaliyoandaliwa na Taasisi ya al-Manahil Irfani Islamic Centre na kufanyika kwenye uwanja wa PTA ...

Read More »

Mzee Mwinyi Aasa Wasomi Waliopikwa Al-Azhar Sharif

NA MWANDISHI WETU Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amewataka Waislamu nchini kudumisha umoja miongoni mwao na kuepukana na mitafaruku isio na tija. Akizungumza na Waislamu katika sherehe zilizoandaliwa na Umoja wa Wahitimu wa Al-Azhar Sharif, tawi la Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Kiislamu cha Kimisri cha Dar es Salaam ...

Read More »

Masheikh Wajitosa Sakata La Madawa Ya kulevya

Wakati mapambano ya dawa za kulevya hapa nchini yakizidi kushika kasi, baadhi ya masheikh wamepongeza na kuunga mkono vita hiyo, na kushauri vita hiyo iendeshwe kwa tahadhari. Mmoja wa masheikh hao, Kaimu Katibu Mkuu wa taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Sunna Tanzania (BASUTA), Muhammad Issa alisema kuwa hatua zilizochukuliwa kukabiliana ...

Read More »

Waislamu Tuwe na Subira Katika Nyakati Ngumu: Faris

NA MRISHO TOZO DAR ES SALAAM Muelimishaji wa Kimataifa wa Kiislamu, Mohammed Faris, maarufu Abuu Productive amewataka Waislamu nchini kuwa na subra katika mambo mbalimbali yanayowafika. Muelimishaji huyo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Productive Muslim aliyasema hayo katika warsha ya siku mbili iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kuhudhuriwa na waumini wa dini ya Kiislamu. Faris ...

Read More »