Khutbah ya Ijuma

Khutbah: Utukufu wa Masjid Aqswa

WAISLAMU nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya waislamu nchini palestina kwani nchini hiyo ni moja kati ya nchi yenye historia kubwa ya dini tukufu ya kiislamu. Kauli hiyo imetolewa na imamu mkuu msikiti wa Haqq sheikh Ibrahim Twaha wakati akitoa Khutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti huo uliyopo ndani ya manispaa ya Morogoro. ...

Read More »

Kutopupia Riziki

Featured Video Play Icon

MLINGANIAJI wa kimataifa kutoka nchini Burundi Sheikh Zuberi Bizimana amewataka waislamu nchini kuto pupia katika masuala ya utafutaji wa riziki na badala yake kuwa na subra ikiwa ni pamoja na kuzudisha uchamungu mbele ya ALLAH (ametakasika na ametukuka). Sheikh Zuberi Bizimana ameyasema hayo wakati akitoa khutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti wa haqq uliopo mtaa wa Karume ...

Read More »

Waislamu wametakiwa kushirikiana

WAISLAMU nchini wametakiwa kuishi kwa kushirikiana baina yao katika mambo mbalimbali hapa dunia kwa lengo la kufuata mwenendo mwema wa mtume Muhamad SAW pamoja na waja wema waliyo tangulia. Kauli hiyo imetolewa na mlinganiaji wa dini tukufu ya kiislamu Shekh Kombo Ally Fundi wakati akitoa hutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti wa haqq uliyopo mtaa wa Karume ...

Read More »