Jamii na Malezi

Tuziunge mkono taasisi za dini kuwekeza sekta ya elimu

Miongoni mwa habari zilizowahi kuandikwa katika toleo la gazeti Imaan ni inayohusu taasisi ya Direct Aid yenye makao yake makuu nchini Kuwait ikisema kuwa itazidi kuwekeza kwenye sekta ya elimu hapa nchini na kwingineko duniani. Zaidi, taasisi hiyo imesema kuwa, huwa inatumia asilimia 80 ya bajeti yake katika sekta hiyo, kama alivyobainisha Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dkt. Abdallah Al Subayt. ...

Read More »

Tunao wajibu wa kuwalinda watoto walemavu

Watoto walemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu hivyo wanayo haki ya kufurahi na kujumuika katika familia. Watoto hawa wana ndoto kama watu wengine. Wapo wanaotamani kuwa Masheikh, madaktari, walimu, wahandisi, wafanyabiashara, wakulima nk. Ili kuzifikia ndoto hizi ni jukumu la jamii kuwatengenezea mazingira rafiki. Mazingira hayo yatawarahisishia kupata huduma muhimu kulingana na ulemavu wao. Kwa kuanzia, ni jukumu la ...

Read More »

Tushirikiane na walimu kuwaelimisha watoto

Ni ndoto ya kila mzazi kuona mtoto wake anafanya vizuri katika elimu, iwe ya dini au mazingira. Wazazi wengi hujinyima na kutumia rasilimali zao kufahakikisha watoto wao wanapata elimu bora. Hili ni jambo zuri na linalofaa kupongezwa. Hongereni sana wazazi. Endeleeni na moyo huohuo. Lakini, wapo wazazi ambao wanaona suala la kumuelimisha mtoto ni kazi ya mwalimu. Mtoto anapofanya vibaya ...

Read More »

Usia wa Mtume (saw) kwa vijana

Kutoka kwa Alqama amehadithia kuwa, alikuwa anatembea na Abdullah bin Masoud [Allah amridhie] ndipo walipokutana na Uthman bin Affaan [Allah amridhie]. Hapo walisimama wakazungumza naye. [Uthman] Akasema: “Ewe Abuu AbdirRahman kwanini tusikuozeshe kijakazi huenda akawa anakukumbusha baadhi ya yale yaliyokupita.” Abuu AbdirRahman [bin Masoud] akasema: “Ama ikiwa utasema hivyo, kwa hakika Mjumbe wa Allah [rehema za Allah na amani zimshukie] ...

Read More »

Kamari: Hawajui uharamu wake au uasi?

Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaocheza kamari au inayoitwa michezo ya kubahatisha katika nchi za Afrika ya Mashariki na Kati. Hata hivyo, jambo la kusikitisha ni kuwa miongoni mwa washiriki wakubwa wa michezo hii ni baadhi ya Waislamu, licha ya ukweli kuwa dini yao imeharamisha michezo hiyo, kama ilivyokuja katika Qur’an, pale Mwenyezi Mungu aliposema: “Enyi mlioamini! Bila ya ...

Read More »

Tusiruhusu runinga na mitandao viwafunze maadili watoto wetu

Maadili kwa vijana wengi hapa nchini imekuwa ni kitu adimu sana. Miaka ya nyuma mtoto alikuwa na maadili ya hali ya juu kwa kuwa mtu yeyote alikuwa na nafasi ya kumsimamia na kumuongoza. Mwanafunzi alikuwa anamuheshimu mwalimu kama anavyowaheshimu wazee wake. Alipokemewa na mwalimu alisikiliza na kutii.Mwalimu alipomwadabisha mwanafunzi shuleni, mwanafunzi huyo alikiri na kukubali kosa. Bahati mbaya sana jambo ...

Read More »

Hatua saba za kujipangia bajeti binafsi

Katika zama hizi za hali ngumu ya kiuchumi, kila mmoja anazungumzia kuwa mwangalifu zaidi na fedha. Kwa mtazamo wa Kiislamu, bila kujali hali ya uchumi, ni muhimu kuwa muangalifu na matumizi na kuweka akiba ili kuepuka israfu, kuweza kukimu familia, kuzuia madeni kadri inavyowezekana na kutenga fedha kwa ajili ya shughuli za hisani. Moja ya tabia muhimu zaidi ambazo wote ...

Read More »

Matumizi ya simu na mitandao ya kijamii na changamoto ya malezi

Toka azali simu ni miongoni mwa chombo muhimu cha mawasiliano. Watu wamekuwa wakipashana habari kupitia simu. Ukitembea maeneo mbalimbali ya nchi yetu na kuona namna chombo hiki kilivyoenea utakubaliana na mimi kuwa simu ni l chombo muhimu sana kwa maisha ya kileo. Watu wanawasiliana bwana!! Simu zimevunja mipaka ya kimasafa na  kuwaleta watu pamoja. Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuenea ...

Read More »

‘TIF Girls’ wawafariji watoto Muhimbili

Vijana wa kujitolea wa taasisi ya The Islamic Foundation upande wa wanawake (TIF Girls) wameendeleza utaratibu wao wa kujitolea kusaidia masuala anuai ya kidini na kijamii, ambapo hivi karibuni waliwatembelea watoto wenye maradhi ya vichwa vikubwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa lengo la kuwafariji. Safari hiyo ni mwanzo wa azma endelevu ya kutembelea wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi tofauti ...

Read More »

Mahujaji TIF 2018 Wako Tayari Kwa Safari

“labbayka Allaahumma Labbyka, Labbayka Laa Shariika Laka Labbayka, Innal-hamda Wal-ni’mata laka wal-mulk, Laa Shariika Laka” Nimekuitika Mola wangu nimekuitika, Nimekuitika huna Mshirika nimekuitika, Hakika Sifa zote njema na neema na ufalme ni vyako, huna mshirika. Hivyo ndivyo watakavyokuwa wakitamka mahujaji wote wakiwemo sita wanaokwenda chini ya mwavuli wa The Islamic Foundation (TIF) kwa ufadhili wa taasisi ya The Zayed Bin ...

Read More »